Kiurhobo

Kiurhobo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waurhobo. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiurhobo imehesabiwa kuwa watu 546,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiurhobo iko katika kundi la Kiedoidi.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search